# maneno yangu hayatakuwa ya uongo; "Nitasema yale ya kweli" # angalia Neno 'angalia' mahali hapa linatia mkazo juu ya kile kinachofuata. "hakika" # yeye ni mwenye nguvu katika uweza wa ufahamu Kirai "mwenye nguvu katika uweza" kina maana "kuwa na nguvu zaidi"