sw_tn/job/34/31.md

12 lines
411 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# nifunze kile ambacho siwezi kukiona
"nifundishe kile nilichokifanya vibaya na hata sikukijua"
# Je unadhani kwamba Mungu ataiadhibu dhambi ya mtu huyo, kwa kuwa unayachukia yale ambayo Mungu huyatenda?
Elihu anatumia swali kwa ajili ya kutia mkazo. "Ingawa haupendi kile ambacho Mungu anakifanya, hakika hata haufikirii kwamba Mungu atamwadhibu mtu huyu"