sw_tn/job/34/07.md

16 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anazidi kuzungumza
# Ni mtu gani aliye kama Ayubu
Elihu anatumia swali hili kumkaripia Ayubu. " Hakuna mwingine zaidi kama Ayubu"
# ambaye hunywa dharau kama maji
Elihu anamshitaki Ayubu kwa kufurahia kuwadharau watu wengine.
# ambaye hutembea pamoja na watu waovu
"ambaye anaenenda kama watu waovu"