# Maelezo ya jumla Elihu anazidi kuzungumza # Ni mtu gani aliye kama Ayubu Elihu anatumia swali hili kumkaripia Ayubu. " Hakuna mwingine zaidi kama Ayubu" # ambaye hunywa dharau kama maji Elihu anamshitaki Ayubu kwa kufurahia kuwadharau watu wengine. # ambaye hutembea pamoja na watu waovu "ambaye anaenenda kama watu waovu"