sw_tn/job/33/19.md

16 lines
400 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuongea na Ayubu
# Mtu huadhidibiwa pia
"Mungu pia humwadhibu mtu"
# ili kwamba maisha yake yachukie chakula, na roho yake ichukie vyakula vizuri
Virai hivi viwili kimsingi vinamaanisha kitu kile kile, kwamba mtu ni yuko katika maumivu makali ambayo yanamfanya anashindwa hata kula.
# ichukie vyakula vizuri
"kuchukia hata chakula chake anachokipendelea"