sw_tn/job/32/20.md

20 lines
330 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza kwa kutumia mtindo wa usambamba
# niweze kuburudishwa
"naweza kujisikia vizuri"
# nitafungua kimya changu
"fungua mdomo wako"au "sema"
# wala sitatoa sifa za majina kwa mtu yeyote
"wala sitamsifu mtu yeyote au kumpa mtu majina ya heshima"
# Muumba wangu
"Mungu aliyeniumba"