# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuzungumza kwa kutumia mtindo wa usambamba # niweze kuburudishwa "naweza kujisikia vizuri" # nitafungua kimya changu "fungua mdomo wako"au "sema" # wala sitatoa sifa za majina kwa mtu yeyote "wala sitamsifu mtu yeyote au kumpa mtu majina ya heshima" # Muumba wangu "Mungu aliyeniumba"