forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
652 B
Markdown
12 lines
652 B
Markdown
|
# Maelezo ya jumla
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli.
|
||
|
|
||
|
# kisha nini basi ningefanya wakati Mungu anapoinuka ili kunishitaki mimi? Atakapokuja kunihukumu, nitamjibuje?
|
||
|
|
||
|
Ayubu anatumia swali ili kutia mkazo. "kisha hakutakuwa na kitu kabisa nitakachoweza kusema ili kujilinda mwenyewe wakati Mungu atakapokuja kunihukumu"
|
||
|
|
||
|
# Je yeye aliyenifanya mimi tumboni hakuwafanya wao pia? Je yeye si yeye yule aliyetuumba sisi wote katika tumbo?
|
||
|
|
||
|
"Mungu, ambaye alinifanya mimi na kwa namna ile ile aliwafanya na wao, atanihukumu kwa jinsi ya haki ile ile kama anavyowahukumu wao."
|