forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
611 B
Markdown
16 lines
611 B
Markdown
|
# Maelezo ya jumla
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kufafanua hali ambazo alistahili kupata hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli.
|
||
|
|
||
|
# kama moyo wangu umevutiwa na mwanamke mwingine
|
||
|
|
||
|
"kama nimemwakia tamaa mke wa mwanaume mwingine"
|
||
|
|
||
|
# ikiwa nimelala na mke wa jirani yangu katika hali ya kusubiria katika mlango wake
|
||
|
|
||
|
"na kama nimemsubiria aache nyumba yake ili niweleze kulala naye"
|
||
|
|
||
|
# na ndipo mke wangu na asage nafaka kwa mwanaume mwingine
|
||
|
|
||
|
Maana zinazokubalika ni 1) hii ni njia ya kusema kuwa mwanaume atalala na mke wa Ayubu au 2) in maana kwamba atakuwa mtumwa na kufanya kazi kwa mwanaume mwingine.
|