sw_tn/job/29/23.md

24 lines
514 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walinisubiri daima kama walivyosubiri mavua
watu walimsubiri kwa subira na kutarajia kusikia mambo mema.
# "walisubiri kwa hamu niongee ili wanufaike kutoka katika usemi wangu"
kama walivyofanya kwa mvua ya masika
# "wakulima walisubiri kwa hamu mvua ya masika"
mvua ya masika
# mvua ya masika
hii ni mvua kubwa ambayo hunyesha kabla ya majira ya ukame
# nilitabasamu kwa ajili yao
"nilitabasamu kwa aji yao ili kuwafariji"
# mwanga wa uso wangu
hii inawakilisha ukarimu waliouna katika sura ya Ayubu