# walinisubiri daima kama walivyosubiri mavua watu walimsubiri kwa subira na kutarajia kusikia mambo mema. # "walisubiri kwa hamu niongee ili wanufaike kutoka katika usemi wangu" kama walivyofanya kwa mvua ya masika # "wakulima walisubiri kwa hamu mvua ya masika" mvua ya masika # mvua ya masika hii ni mvua kubwa ambayo hunyesha kabla ya majira ya ukame # nilitabasamu kwa ajili yao "nilitabasamu kwa aji yao ili kuwafariji" # mwanga wa uso wangu hii inawakilisha ukarimu waliouna katika sura ya Ayubu