sw_tn/job/29/11.md

24 lines
887 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# baada ya masikio yao kunisikia.... baada ya macho yao kuniona
masikio yanawakilisha wale waliomsikia na macho yanawakilisha wale waliomwona. KTN: "baada ya kusikia nilichowaeleza ... baada ya kuniona"
# waliweza kunishuhudia na kunithibitisha
"waliweza kunishuhudia kwa kunithibitisha"
# nilimwokoa mtu masikini aliyenililia
Hapa"mtu masikini" inahusu mtu yeyote ambaye ni masikini. KTN: "niliwaokoa watu masikini ambao walinililia"
# Baraka ya yule aliyekuwa karibu kupotea ilinijia
baraka ya mtu kwenda kwa mwingine inawakilisha kitendo cha huyi mtu kumbariki mwingine.KTN: "yule aliyekuwa karibu kupotea aliweza kunibariki"
# yeye aliyekuwa karibu kuangamia
Mtu yeyote aliyekuwa anakaribia kufa. KTN: " wale ambao walikaribia kufa"
# nilisababisha moyo wa mjane kuimba kwa furaha
"moyo wa mjane" inamaana ya mjane yoyote. KTN: "Niliwafanya wajane waimbe kwa furaha kuu"