# baada ya masikio yao kunisikia.... baada ya macho yao kuniona masikio yanawakilisha wale waliomsikia na macho yanawakilisha wale waliomwona. KTN: "baada ya kusikia nilichowaeleza ... baada ya kuniona" # waliweza kunishuhudia na kunithibitisha "waliweza kunishuhudia kwa kunithibitisha" # nilimwokoa mtu masikini aliyenililia Hapa"mtu masikini" inahusu mtu yeyote ambaye ni masikini. KTN: "niliwaokoa watu masikini ambao walinililia" # Baraka ya yule aliyekuwa karibu kupotea ilinijia baraka ya mtu kwenda kwa mwingine inawakilisha kitendo cha huyi mtu kumbariki mwingine.KTN: "yule aliyekuwa karibu kupotea aliweza kunibariki" # yeye aliyekuwa karibu kuangamia Mtu yeyote aliyekuwa anakaribia kufa. KTN: " wale ambao walikaribia kufa" # nilisababisha moyo wa mjane kuimba kwa furaha "moyo wa mjane" inamaana ya mjane yoyote. KTN: "Niliwafanya wajane waimbe kwa furaha kuu"