sw_tn/job/29/04.md

16 lines
517 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika kukomaa kwa siku zangu
"nilipokwa kijana na mwenye nguvu"
# wakati urafiki na Mungu ulikuwa kwenye hema yangu
" Wakati Mungu alipokuwa rafiki yangu na alipoilinda nyumba yangu"
# wakati njia yangu ilipooshwa katika malai
"wakati njia yangu ilipomiminika malai" au "wakati ng'ombe wangu walipotoa malai kwa wingi"
# na mwamba ulinimiminia mito ya mafuta
" watumishi wangu walipo kamua mafuta ya mizeituni kwa wingi" au " wakati ambapo mafuta yalitiririka kama mito kutoka kwenye mwamba wa kusindikia"