# katika kukomaa kwa siku zangu "nilipokwa kijana na mwenye nguvu" # wakati urafiki na Mungu ulikuwa kwenye hema yangu " Wakati Mungu alipokuwa rafiki yangu na alipoilinda nyumba yangu" # wakati njia yangu ilipooshwa katika malai "wakati njia yangu ilipomiminika malai" au "wakati ng'ombe wangu walipotoa malai kwa wingi" # na mwamba ulinimiminia mito ya mafuta " watumishi wangu walipo kamua mafuta ya mizeituni kwa wingi" au " wakati ambapo mafuta yalitiririka kama mito kutoka kwenye mwamba wa kusindikia"