sw_tn/job/28/26.md

12 lines
371 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# na njia kwa mwanga wa radi
maana yaake 1) aliamua namna yamapigo ya mwanga au 2) aliamua mahali pa kuelekea ngurumo za radi.
# Hofu ya Bwana -ni hekima
"hofu" au "heshima" KTN: " ukimheshimu Bwana- utakuwa na busara"
# kujitenga na uovu ni ufahamu
KTN: "Kukataa kutenda vitu viovu ni ufahamu" au " kama utaepuka kutenda vitu viovu, utaweza kufahamu mambo vizuri"