# na njia kwa mwanga wa radi maana yaake 1) aliamua namna yamapigo ya mwanga au 2) aliamua mahali pa kuelekea ngurumo za radi. # Hofu ya Bwana -ni hekima "hofu" au "heshima" KTN: " ukimheshimu Bwana- utakuwa na busara" # kujitenga na uovu ni ufahamu KTN: "Kukataa kutenda vitu viovu ni ufahamu" au " kama utaepuka kutenda vitu viovu, utaweza kufahamu mambo vizuri"