sw_tn/job/28/01.md

24 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# machimbo
hii ni sehemu ambapo watu huchimba miamba kwenye ardhi. Hii miamba inachuma ndani yake.
# husafisha
mchakato wa kupasha joto chuma ili kuondoa uchafu wote ndani yake.
# chuma huchukuliwa kwenye ardhi
"watu huchukua chuma kutoka kwenye ardhi"
# shaba huyeyushwa kutoka kwenye mawe
" watu huyeyusha shaba kutoka kwenye mawe" au "watu huchoma mawe kuyeyusha shaba ndani yake"
# shaba
chuma cha brauni ambacho ni muhimu
# yeyusha
huu ni mchakato wa kuchoma miamba ili kuyeyusha madini ndani yake na kutoa madini hayo kwenye miamba