# machimbo hii ni sehemu ambapo watu huchimba miamba kwenye ardhi. Hii miamba inachuma ndani yake. # husafisha mchakato wa kupasha joto chuma ili kuondoa uchafu wote ndani yake. # chuma huchukuliwa kwenye ardhi "watu huchukua chuma kutoka kwenye ardhi" # shaba huyeyushwa kutoka kwenye mawe " watu huyeyusha shaba kutoka kwenye mawe" au "watu huchoma mawe kuyeyusha shaba ndani yake" # shaba chuma cha brauni ambacho ni muhimu # yeyusha huu ni mchakato wa kuchoma miamba ili kuyeyusha madini ndani yake na kutoa madini hayo kwenye miamba