sw_tn/job/27/18.md

28 lines
580 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Huijenga nyumba yake kama buibui
" kama buibui ajengavyo mifumo yake"
# Huijenga nyumba yake kama buibui
" kama buibui ajengavyo mifumo yake"
# kama kibanda
kibanda ni nyumba ya muda ambayo si imara. KTN: "Kama kibanda cha muda mfupi"
# hulala chini kitandani akiwa tajiri
" analala wakati wa usiku akiwa tajiri"
# walakini hawezi kuendelea kufanya hivyo
"walakini hataendelea kulala kwenye kitanda akiwa tajiri" au "hataendelea kuwa tajiri"
# hufumbua macho yake
"ataamuka"
# na kila kitu kimetoweka
"utajiri wake wote utaondoka" au "kila kitu kitakuwa kimepotea"