# Huijenga nyumba yake kama buibui " kama buibui ajengavyo mifumo yake" # Huijenga nyumba yake kama buibui " kama buibui ajengavyo mifumo yake" # kama kibanda kibanda ni nyumba ya muda ambayo si imara. KTN: "Kama kibanda cha muda mfupi" # hulala chini kitandani akiwa tajiri " analala wakati wa usiku akiwa tajiri" # walakini hawezi kuendelea kufanya hivyo "walakini hataendelea kulala kwenye kitanda akiwa tajiri" au "hataendelea kuwa tajiri" # hufumbua macho yake "ataamuka" # na kila kitu kimetoweka "utajiri wake wote utaondoka" au "kila kitu kitakuwa kimepotea"