sw_tn/job/24/08.md

36 lines
989 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# wamelowana kwa manyunyu ya milimani
" wanlowana wakati inaponyesha milimani"
# yatima kutoka kwenye maziwa ya mama zao
"maziwa" inarejea kwa mama. maana yake kuwa yatima hawa bado wadogo sana. KTN: " yatima wachanga kutoka kwenye mikono ya mama zao au vichanga wasio na baba kutoka kwa mama zao"
# yatima
hii inarejea kwa watoto ambao hawana wazazi. Hata hivyo hapa neno hili limetumika kumaanisha watoto ambao hawana mama wla baba.
# huchukua watoto kama dhamana kutoka kwa watu masikini
"huchukua watoto wa watu wa masikini ili kuhakikisha kuwa watu masikini watalipa pesa walizokopa"
# dhamana
mwazimishaji anachukua kitu kutoka kwa mwazimaji ili kuhakikisha kwamba atalipa tena.
# huzunguka
"kutembea huku na kule"
# uchi pasipo mavazi
"uchi pasipo mavazi" maana yake ni sawa na kuwa uchi.
# hubeba miganda ya nafaka ya wengine
hii inamaanisha wanfanya kazi kuzalisha chakula kwa wengine wala si kwa ajili yao wenyewe.