sw_tn/job/23/06.md

16 lines
296 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# Je
"Mungu angelieweza"
# Ambapo
inarejea sehemu ambapo Mungu yupo
# je angeona kuwa sina hatia milele katika kuhukumu kwangu
KTN: "kuhukumu kwangu kungeliniweka huru daima" au "Mungu, ambaye ni hakimu wangu, angesema kuwa sina hatia kabisa"