# Sentensi unganishi Ayubu anaendelea kuongea # Je "Mungu angelieweza" # Ambapo inarejea sehemu ambapo Mungu yupo # je angeona kuwa sina hatia milele katika kuhukumu kwangu KTN: "kuhukumu kwangu kungeliniweka huru daima" au "Mungu, ambaye ni hakimu wangu, angesema kuwa sina hatia kabisa"