sw_tn/job/22/23.md

28 lines
931 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Senensi unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu
# utajengwa
KTN: "atakuponya na kukufanikisha tena"
# kama udhalimu utauweka mbali kutoka katika hema yako
picha ya udhalimu inaonyeshwa kana kwamba ni mtu anayeishi katika nyumba ya Ayubu ambaye anatakiwa kuondolewa. KTN: "ikiwa wewe na kila mtu katika nyumba yako mtakoma kutenda dhambi"
# Hazina zako ziweke chini kwenye mavumbi
hazina kuiweka kwenye mavumbi ni kuitazama kama kitu ambacho hakina thamani.KTN: ufikirie utajiri wako kama ni kitu ambacho siyo cha muhimu kama vile mavumbi"
# dhahabu ya ofiri miongo mwa mawe ya vijito.
kuiweka dhahabu katika mfereji ni kuiona kitu kisicho na thamani kama mawe. KTN: " dhahabu yako isiwe na thamani kama mawe kwenye kijito"
# Ofiri
hili ni jina la ukanda maarufu kwa dhahabu yake.
# Mwenyezi atakuwa hazina, fedha ya thamani kwako
hii inamaana Mungu atakuwa wa thamani zaidi kwa Ayubu kuliko hazina yoyote.