# Senensi unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu # utajengwa KTN: "atakuponya na kukufanikisha tena" # kama udhalimu utauweka mbali kutoka katika hema yako picha ya udhalimu inaonyeshwa kana kwamba ni mtu anayeishi katika nyumba ya Ayubu ambaye anatakiwa kuondolewa. KTN: "ikiwa wewe na kila mtu katika nyumba yako mtakoma kutenda dhambi" # Hazina zako ziweke chini kwenye mavumbi hazina kuiweka kwenye mavumbi ni kuitazama kama kitu ambacho hakina thamani.KTN: ufikirie utajiri wako kama ni kitu ambacho siyo cha muhimu kama vile mavumbi" # dhahabu ya ofiri miongo mwa mawe ya vijito. kuiweka dhahabu katika mfereji ni kuiona kitu kisicho na thamani kama mawe. KTN: " dhahabu yako isiwe na thamani kama mawe kwenye kijito" # Ofiri hili ni jina la ukanda maarufu kwa dhahabu yake. # Mwenyezi atakuwa hazina, fedha ya thamani kwako hii inamaana Mungu atakuwa wa thamani zaidi kwa Ayubu kuliko hazina yoyote.