sw_tn/job/22/21.md

20 lines
442 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Setensi Unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu
# Sasa
Elifazi anatumia neno sasa kutoa utangulizi wa jambo muhimu analotaka kusema.
# maelekezo kutoka katika kinywa chake
"kutoka kwenye kinywa chake" inawakilisha yale ambayo Mungu amekwisha sema. KTN" "maelekezo ya ambayo Mungu a mekwisha kusema."
# uyahifadhi maneno yake
KTN: "amri zake uziweke kuwa akiba"
# moyo wako.
moyo unarejea mawazo ya Ayubu. KTN: "akili zako"