# Setensi Unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu # Sasa Elifazi anatumia neno sasa kutoa utangulizi wa jambo muhimu analotaka kusema. # maelekezo kutoka katika kinywa chake "kutoka kwenye kinywa chake" inawakilisha yale ambayo Mungu amekwisha sema. KTN" "maelekezo ya ambayo Mungu a mekwisha kusema." # uyahifadhi maneno yake KTN: "amri zake uziweke kuwa akiba" # moyo wako. moyo unarejea mawazo ya Ayubu. KTN: "akili zako"