forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
669 B
Markdown
12 lines
669 B
Markdown
|
# Elifazi Mtemani
|
||
|
|
||
|
Jina la mtu, angalia 2:11
|
||
|
|
||
|
# Je mtu anaweza kumfaa Mungu? Je mtu mwenye busara anaweza kumfaa Yeye?
|
||
|
|
||
|
Elifazi anatumia maswali kuweka mkazo kuwa matendo ya mtu au hekima havina faida kwa Mungu. KTN: "Mtu hawezi kumfaa Mungu. Mtu mwenye busara hawezi kuwa na faida kwake faida kwa kwake"
|
||
|
|
||
|
# Je kuna furaha yoyote kwa mwenyezi kama wewe ni mwenye haki? Je ni faida kwake kama utazifanya njia zako kuwa timilifu?
|
||
|
|
||
|
Sentensi zote zina maana moja. Elifazi anatumia maswali kukazia kuwa matendo yake Ayubu hayana msaada kwa Mungu.KTN: "Mwenyezi hapokei furaha yoyote kama wewe ni mwenye haki. Hafaidiki na chochote kama utazifanya njia zako kuwa timilifu"
|