sw_tn/job/21/34.md

8 lines
289 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Hili ni hitimisho la mazungumzo ya Ayabu kwa rafiki zake.
# imekuwa basi kunifariji kwa upuuzi, kwani katika majibu yenu hakuna kitu isipokuwa uongo?
Ayubu anatumia swali kuwakaripia rafiki zake. KTN: " haiwezekani mnifariji kwa upuuzi. majibu yenu yote ni uongo."