# Sentensi Unganishi Hili ni hitimisho la mazungumzo ya Ayabu kwa rafiki zake. # imekuwa basi kunifariji kwa upuuzi, kwani katika majibu yenu hakuna kitu isipokuwa uongo? Ayubu anatumia swali kuwakaripia rafiki zake. KTN: " haiwezekani mnifariji kwa upuuzi. majibu yenu yote ni uongo."