sw_tn/job/21/16.md

28 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# Tazama, je kufanikwa kwao hakupo mikono mwao mwenyewe?
hapa "mikono" inamaanisha nguvu zao au utawala wao. Ayubu anatumia swali hili kutoa changamoto kwa rafiki zake. KT: "Tazama, watu hawa waovu wanasema kwamba wamesababisha mafaniki wao wenyewe!"
# Je ni mara ngapi... msiba wao huwajilia?
Ayubu anatumia swali hili kusisitiza kuwa yeye anaona kwamba Mungu hawaadhibu waovu mara nyingi. KT: "si mara nyingi ... msiba wao huwapata "
# taa ya watu waovu imezimwa
Ayubu analinganisha kuzima taa na kufa. KTN: "Mungu husababisha wafe ghafla"
# Ni mara ngapi hutokea... katika hasira yake?
Ayubu anatumia swali hili la pili kuweka mkazo kuwa inaonekana mara nyingi Mungu huwa hawaadhibu waovu. KTN: "Si mara nyingi ... katika hasira yake."
# Ni mara ngapi ... dhoruba huwabeba?
Ayubu anatumia swali hili la tatu kuweka mkazo kuwa inaonekana mara nyingi Mungu huwa hawaadhibu waovu.KTN: "Si mara nyingi ... dhoruba huwabeba."
# wanakuwa kama mabua mbele ya upepo au kama makapi ambayo huchukuliwa na dhoruba
Kifo cha waovu kinaongelewa kana kwamba ni makapi yasiyofaa na mabua yapeperushwayo.KTN: "Mungu huwaondoa kama upepo upeperushao makapi"