forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
841 B
Markdown
24 lines
841 B
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini watu waovu wanaendelea kuishi na kuwa wazee na kustawi katika nguvu nyingi?
|
||
|
|
||
|
Ayabu anatumia swali hili kuonesha kuwa rafiki zake walikosea kudhani kwamba watu waovu mara nyingi hupatwa na mateso. KN: " watu waovu huendelea kuishi, huzeeka, na kuwa na utajiri zaidi"
|
||
|
|
||
|
# Wazao wao huimarika pamoja nao katika upeo wao...kizazi chao mbele ya macho yao.
|
||
|
|
||
|
Vishazi hivi viwili vinamaana ya jambo moja na vinaweka msisitizo kuwa jambo hili ni la kweli.
|
||
|
|
||
|
# katika upeo wao... mbele ya macho yao
|
||
|
|
||
|
Misemo hii inamaanisha jambo moja kwa sababu "macho" yanahusiana na upeo wa kuona. Watu waovu huwaona wazoa wao wakistawi na kutajirika.
|
||
|
|
||
|
# Nyumba zao
|
||
|
|
||
|
Hapa "nyumba" inamaanisha wanafamilia wanaoishi humo. KT: "Familia zao"
|
||
|
|
||
|
# fimbo ya Mungu
|
||
|
|
||
|
inamaanisha adhabu ya Mungu.
|