forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
799 B
Markdown
20 lines
799 B
Markdown
|
# Habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Sofari anaendelea kuzungumza kwa Ayubu.
|
||
|
|
||
|
# Watoto wake
|
||
|
|
||
|
"Watoto wa mtu mwovu"
|
||
|
|
||
|
# mikono yake itaweza kurudisha utajiri wake.
|
||
|
|
||
|
Katika sentensi hii "mikono"inamaanisha watoto wa mtu mpumbavu. Wakati atakapokufa watoto wake watapaswa kurudisha kila kitu ambacho yeye alikichukua kwa watu wengine.
|
||
|
|
||
|
# Mifupa yake imejaa nguvu za ujanani,
|
||
|
|
||
|
"Mifupa" yake inawakilisha mwili wake. Kuwa "umejawa" na nguvu za ujanani kunawakilisha kuwa na nguvu kama mtu kijana."Mwili wake una nguvu kama mwili wa mtu kijana"
|
||
|
|
||
|
# lakini zitalala naye chini katika mavumbi.
|
||
|
|
||
|
Sentensi hii inamaanisha nguvu zake za ujanani "kulala chini katika mavumbi" kunawakilisha kupotelea mbali. " lakini nguvu zake za ujanani zitakufa maoja naye" au "lakini nguvu zake za ujanani hazitaonekana wakati atakapokufa"
|