forked from WA-Catalog/sw_tn
25 lines
1.1 KiB
Markdown
25 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
|
||
|
|
||
|
# Kwa jinsi gani tutamtesa yeye?
|
||
|
|
||
|
Huu ni mshangao! Kumaanisha kuwaa wao kwa hakika watamtesa Ayubu au watamtesa yeye vikali sana.
|
||
|
|
||
|
# Mzizi wa mahangaiko yake unakaa katika yeye;
|
||
|
|
||
|
"Mzizi" unawakilisha chanzo. "Yeye ni chanzo cha mahangaiko yake" au " Yeye amekuwa na matatizo haya yote kwa sababu ya kile ambacho yeye amekitenda"
|
||
|
|
||
|
# ndipo uwe umeogopeshwa kwa ule upanga,
|
||
|
|
||
|
Sentensi hii ina maanisha hivi: Mungu anawahukumu wao, au Mungu anawaua wao. "kisha uwe na hofu kwamba Mungu anawaua", au "kisha uogope kwamba Mungu atakuua wewe"
|
||
|
|
||
|
# kwa sababu ghadhabu huleta hukumu ya upanga,
|
||
|
|
||
|
Katika sentensi hii maneno "huleta" ni tashbiha kwa neno "matokeo" au "chanzo" Majina dhahania "ghadhabu" na "hukumu" yaweza kuelezwa na kivumishi "kasirika" na kitenzi "adhibu."
|
||
|
Maana zaweza kuwa hizi: Hasira ya Mungu inaleta hukumu. "kwa sababu Mungu atakukasirikia wewe na kukuadhibu wewe" au " hasira ya rafiki za Ayubu inaleta hukumu. "kama mna hasira sana na mimi, Mungu atawaadhibu ninyi"
|
||
|
|
||
|
# kuna hukumu."
|
||
|
|
||
|
Jina dhahania "hukumu" laweza kuelezwa na kitenzi "hukumu""Mungu huwahukumu watu"
|