sw_tn/job/19/15.md

20 lines
538 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# habari za Jumla:
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake watatu.
# hunihesabu mimi
"kunifikiria mimi"
# Mimi nimekuwa mgeni katika macho yao
Kuona kwao kunawakilisha mtzazamo wao dhidi yake. "wao wanafikiri juu yangu mimi kama mgeni"
# lakini yeye hanipi jibu
Jibu ni mwitiko wa kuita kwa Ayubu. "lakini yeye hajibu kwangu mimi" au " lakini yeye haji kwangu mimi"
# japokuwa Mimi nimemsihi yeye kwa midomo yangu.
Tungo"kwa midomo yangu" inamaanisha Ayubu anazungumza" ingawa Mimi ninazungumza kwake yeye na kumwomba yeye."