# habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake watatu. # hunihesabu mimi "kunifikiria mimi" # Mimi nimekuwa mgeni katika macho yao Kuona kwao kunawakilisha mtzazamo wao dhidi yake. "wao wanafikiri juu yangu mimi kama mgeni" # lakini yeye hanipi jibu Jibu ni mwitiko wa kuita kwa Ayubu. "lakini yeye hajibu kwangu mimi" au " lakini yeye haji kwangu mimi" # japokuwa Mimi nimemsihi yeye kwa midomo yangu. Tungo"kwa midomo yangu" inamaanisha Ayubu anazungumza" ingawa Mimi ninazungumza kwake yeye na kumwomba yeye."