sw_tn/job/19/01.md

16 lines
582 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Ayubu anazungumza kwa rafiki zake watatu.
# Habari za Jumla
Tazama uandishi wa ushairi na mifano ya miti wa mitini
# mpaka lini mtanifanya mimi kuteseka na kunivunja vunja mimi vipande vipnde kwa maneno?
Ayubu anatumia swali hili kulalamika kuhusu jinsi rafiki zake wanavyomtemdea yeye. "Acheni kunifanya mimi niteseke na kunikatakata mimi vipande vipande kwa maneno."
# kunivunja vunja mimi vipande vipande
Ayubu anatumia picha hii kusema kwamba maneno yao yanamfanya yeye ajisikie mwenye huzuni sana na asiyekuwa na tumaini. "na kunitesa kwa maneno"