forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
301 B
Markdown
8 lines
301 B
Markdown
|
# Habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Bildadi anazidi kumzungumzia mtu mwovu.
|
||
|
|
||
|
# nyumba za watu wasio haki, ni sehemu ya wale wasiomjua Mungu
|
||
|
|
||
|
Tungo hizi mbili zina maana moja kwa watu walewale. Katika sentensi hii watu hawa wamezungumzwa kwa mahali ambapo wao wanaishi. "watu wasio haki, wale ambao hawamfahamu Mungu"
|