forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
734 B
Markdown
24 lines
734 B
Markdown
|
# habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Bildadi anaendelea kumwelezea mtu mwovu.
|
||
|
|
||
|
# Yeye ameraruliwa kutoka kwenye usalama wa hema yake
|
||
|
|
||
|
"Majanga yamemtoa yeye kutoka katika hema yake, mahali ambapo yeye alikuwa salama"
|
||
|
|
||
|
# hakuweza kutembea
|
||
|
|
||
|
"na hakuweza kutembea" au"ilimlazimu yeye kuondoka"
|
||
|
|
||
|
# mfalme mwenye utisho.
|
||
|
|
||
|
Hili ni rejeo kwa "Mfalme Kifo'" mungu mpagani ambaye alikuwa ameaminiwa kutawala juu ya kifo" "mmoja ambaye anatawala juu ya waliokufa" "mfalme wa kifo"
|
||
|
|
||
|
# Watu ambao siyo wa kwake
|
||
|
|
||
|
"watu ambao si wa familia yake"
|
||
|
|
||
|
# baada ya kuona ule moto umesambaa ndani ya nyumba yake yeye
|
||
|
|
||
|
Watu walitumia kemikali ya salfa kujikinga na magonjwa yoyote kutoka kwa mgonjwa anayekufa. "baada ya kumwaga kemikali ya salfa juu ya nyumba yake yote"
|