forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.3 KiB
Markdown
36 lines
1.3 KiB
Markdown
|
# habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Bildadi anaendela kuzungumza na anatumia picha ya mifano mitatu kuelezea jinsi gani mtu mwovu ghafla atapitia kwenye majanga.
|
||
|
|
||
|
# Tanzi litamchukua yeye...mtego utabaki ...Tanzi ime... kwa ajili yake.... katika njia
|
||
|
|
||
|
Tungo hizi nne zinazungumza juu ya mtu mwovu anayepitia majanga kama vile alikuwa amekamatwa na mtgo. "Itakuwa kama mtego utamchukua yeye...mtego uta....Tanzi ina....na mtego kwa ajili yake katika njia"
|
||
|
|
||
|
# Tanzi
|
||
|
|
||
|
Watu walitumia aina hii ya mtego kukamata ndege. Mtego umenasa na kufunga na kushikilia kwenye miguu ya ndege.
|
||
|
|
||
|
# litamchukua yeye kwa kisigino;
|
||
|
|
||
|
Katika sentensi hii "kisigino" kinamaanisha mguu wote" utaushikilia mguu wake"
|
||
|
|
||
|
# Tanzi limefichwa kwa ajili yake chini ya ardhi;
|
||
|
|
||
|
"Mtu fulani ameficha mtego katka ardhi ili kumkamata yeye"
|
||
|
|
||
|
# mtego
|
||
|
|
||
|
kamba yenye tundu ambalo hushikilia mguu wa wanyama wakati mnyama anapotembea katikati ya tundu.
|
||
|
|
||
|
# na mtego kwa ajili yake
|
||
|
|
||
|
"na mtego umefichwa katika njia kumkamata yeye" au" na mtu fulani atauficha mtego kumkamata yeye katka njia"
|
||
|
|
||
|
# Watishao watamfanya yeye aogope juu ya sehemu zote
|
||
|
|
||
|
"watishao wote wanaomzunguka watamfanya yeye aogope"
|
||
|
|
||
|
# watamkimbiza yeye kwenye visigino vyake.
|
||
|
|
||
|
Sentensi hii inazungumzia vitu ambavyo vitamfanya mtu mwovu aogope kama vile kulikuwa na adui zake ambao walimfukuza yeye"
|