forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1.1 KiB
Markdown
24 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Bildadi anaendelea kumwelezea mtu mwovu.
|
||
|
|
||
|
# Hatua za nguvu zake yeye zitafanywa kuwa fupi;
|
||
|
|
||
|
maneno haya yanamhusu mtu mwovu ghafla anapatwa na janga kama vile yeye hakuwa na nguvu za kutembea. "Itakuwa kama yeye hakuwa na nguvu za kutembea"
|
||
|
|
||
|
# mipango yake yeye mwenyewe itamwangusha yeye chini.
|
||
|
|
||
|
"Ushauri wake mwenyewe unamfanya yeye kuanguka chini." maneno haya yanamzungumzia mtu mwovu akipitia majanga kama vile anavyoanguka chini. "mipango yake yeye mwenyewe itamwongoza yeye katika janga"
|
||
|
|
||
|
# Kwa maana yeye atatupwa katika mtego kwa miguu yake mwenyewe; yeye atatembea katika mahangaiko.
|
||
|
|
||
|
"Miguu yake mwenyewe itamwongoza katika mtego." Bibldadi anatumia picha hii kusema kwamba njia ambayo mtu mwovu anaishi maisha yake inamwongoza yeye katika janga la ghafla. " Itakuwa ingawa amejiongoza mwenyewe katika mtego, kama vile yeye alitembea katika mahangaiko"
|
||
|
|
||
|
# mtego
|
||
|
|
||
|
ni nguo au kamba ambayo watu huunganisha pamoja kutengeneza kizuio. Watu walitumia mitego kunasa wanyama.
|
||
|
|
||
|
# shimo la mahangaiko.
|
||
|
|
||
|
shimo lina matawi na majani juu yake ili kwamba mnyama atapita juu ya matawi yake na majani na kuanguka ndani ya shimo.
|