sw_tn/job/17/09.md

24 lines
631 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Ayubu anaendeleza kuzungumza.
# ataendelea katika njia yake;
Hii ni nahau. "ataendelea kuishi katika njia ya haki"
# yeye ambaye ana mikono iliyo safi
Sentensi hii inazunguza juu ya mtu kuwa asiye na hatia kama mikono iliyo safi. "yeye ambaye hutenda haki" au "yeye ambaye hana hatia"
# ataendelea kuwa mwenye nguvu zaidi na zaidi
Maneno haya hayamaanishi tu nguvu za kimwili lakini pia nguvu za utashi wa mtu na hisia.
# ninyi nyote
Ayubu anazungumza kwa Elifazi, Bildadi, na Sofari.
# njooni sasa
Ayubu anawakaribisha rafiki zake kuhojiana kile ambacho amekisema. "njoni sasa, mhojiane na mimi"