forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1.0 KiB
Markdown
24 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# na tena yuko wapi yeye? 11Kama maji
|
||
|
|
||
|
Ayubu anatumia swali hili kusisitiza kuwa wakati mtu anapokufa, yeye ametoweka. na hakuna hata mmoja anayefahamu aliko" au " na yeye ametoweka"
|
||
|
|
||
|
# ma maji yanavyopotea kutoka ziwani, na kama vile mto upotezavyo maji na kukauka, vivyo hivyo watu hulala chini na hawaamki tena.
|
||
|
|
||
|
Ukweli kwamba kifo hakiwezi kurudishwa kimelinganishwa na maji ambayo hukauka na hayawezi kurudi.
|
||
|
|
||
|
# Kama maji yanavyopotea kutoka ziwani, na kama vile mto upotezavyo maji na kukauka,
|
||
|
|
||
|
Tungo hizi mbili zinaeleza wazo moja na zimerudiwa kutoa msisitizo wa ukweli kwamba kifo ni mwicho.
|
||
|
|
||
|
# vivyo hivyo watu hulala chini
|
||
|
|
||
|
Kulala chini kunawakilisha kufa." hivyo watu hufa"
|
||
|
|
||
|
# na hawaamki tena
|
||
|
|
||
|
Kuinuka tena kunawakilisha kuishi tena. "na kutoishi tena"
|
||
|
|
||
|
# hawataamka wala kuamshwa kutoka katika kulala kwao.
|
||
|
|
||
|
Hizi tungo mbili zinamaanisha kitu hiho hicho na zimetumiwa pamoja kusisitiza kuwa kifo ni mwisho. Kulala kunawakilisha kufa na kuamka kunaakilisha kuishi tena. " watu ambao wamekufa hawataishi tena na kufufunuliwa kutoka katika kifo.
|