forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
973 B
Markdown
24 lines
973 B
Markdown
|
# Habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzungumza kwa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# Ni nani anayeweza kukileta kitu safi kutoka katika kitu kichafu? Hakuna awaye yote.
|
||
|
|
||
|
Ayubu anatumia swali hili kumshawishi Mungu kufanyia kazi kile ambacho yeye anakifahamu kuhusu vitu visivyo safi kwa Ayubu."Hakuna hata mmoja ambaye anaweza kukileta kitu kilicho safi kutoka kwenye kitu kichafu"
|
||
|
|
||
|
# Siku za mwanadamu zimeamriwa
|
||
|
|
||
|
"Wewe unaziamuru siku za mwanadamu" au "Wewe unaamua siku za kuishi mwanadamu"
|
||
|
|
||
|
# Idadi ya miezi yake unayo wewe;
|
||
|
|
||
|
Idadi ya miezi ya mwanadamu kuwa na Mungu inawakilisha Mungu kuamua idadi ya miezi ambayo mtu ataishi," Wewe waamua ni miezi mingapi yeye ataishi"
|
||
|
|
||
|
# umekiweka kikomo chake ambacho hawezi kukivuka
|
||
|
|
||
|
Kuweka kikomo inawakilisha kuishi muda uliopita ambao Mungu ameuweka kwa mtu kufa. "Wewe umeuweka wakati ambao yeye atakufa", na yeye hawezi kuishi zidi ya hapo.
|
||
|
|
||
|
# mtu aliyekodishwa
|
||
|
|
||
|
mtu aliyekodishwa kufanya kazi na huenda nyumbani baadaye.
|