forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
818 B
Markdown
20 lines
818 B
Markdown
|
# Habari za Jumla"
|
||
|
|
||
|
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini unaficha uso wako kutoka kwangu mimi na kunitendea mimi kama adui yako?
|
||
|
|
||
|
Ayubu anauliza swali hili kulalamika kuhusu jinsi Mungu anavyomtendea yeye. Yeye huenda anategemea jibu.
|
||
|
|
||
|
# unaficha uso wako kutoka kwangu mimi
|
||
|
|
||
|
Mtu kuficha uso wake inawakilisha kukataa kumtazama yeye au kumpuuza yeye. Wewe unakaa kunitazama mimi" au " wewe unanipuuza mimi"
|
||
|
|
||
|
# Je, wewe utalitesa jani linalopeperushwa
|
||
|
|
||
|
Ayubu anatumia swali hili kumwambia Mungu kuwa Ayubu si wa muhimu na ni dhaifu, ni hasara kumtesa yeye"
|
||
|
|
||
|
# jani linalopeperushwa....bua kavu
|
||
|
|
||
|
"Jani" na "bua" ni tashbiha ikielezea udhaifu wa Ayubu, kutokuwa wa muhimu, na kutokuwa mwenye nguvu. "Wewe unanitesa mimi, lakini niko dhaifu kama jani lililopeperushwa na upepo na si wa maana kama bua kavu"
|