sw_tn/job/12/22.md

16 lines
806 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yeye huweka wazi vitu vya kina kutoka katika giza
Kuviweka wazi vitu ikiwa ni kuvifanya vijulikane. " Vitu vya kina kutoka katika giza" huwakilisha siri ambazo watu hawazijui. "Yeye huzifanya siri kujulikana ambazo watu hawazifahamu"
# kuvileta nje kumuika vivuli mahali ambapa watu waliokufa wapo
Kuvileta vitu nje inawakilisha kuvifanya vijulikane."hufanya mahali ambapo wafu waliko pajulikane"
# huyafanya mataifa kuwa na nguvu
"Yeye hufanya kupanuka kwa nchi ya watu waliojikusanya pamoja kuwa kubwa" au " Yeye hufanya mataifa kuchukua ardhi zaidi"
# pia yeye huyaongoza mbali kama wafungwa.
Mungu kuyaongoza mataifa kunawakilisha Mungu kuwafanya adui za mataifa kuwaongoza. Neno "wao" linawakilisha watu wa mataifa hayo. " Yeye pia huwafanya adui zao kuwaongoza wao mbali kama wafungwa"