# Yeye huweka wazi vitu vya kina kutoka katika giza Kuviweka wazi vitu ikiwa ni kuvifanya vijulikane. " Vitu vya kina kutoka katika giza" huwakilisha siri ambazo watu hawazijui. "Yeye huzifanya siri kujulikana ambazo watu hawazifahamu" # kuvileta nje kumuika vivuli mahali ambapa watu waliokufa wapo Kuvileta vitu nje inawakilisha kuvifanya vijulikane."hufanya mahali ambapo wafu waliko pajulikane" # huyafanya mataifa kuwa na nguvu "Yeye hufanya kupanuka kwa nchi ya watu waliojikusanya pamoja kuwa kubwa" au " Yeye hufanya mataifa kuchukua ardhi zaidi" # pia yeye huyaongoza mbali kama wafungwa. Mungu kuyaongoza mataifa kunawakilisha Mungu kuwafanya adui za mataifa kuwaongoza. Neno "wao" linawakilisha watu wa mataifa hayo. " Yeye pia huwafanya adui zao kuwaongoza wao mbali kama wafungwa"