sw_tn/job/11/20.md

8 lines
397 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# macho ya watu waovu yatashindwa;
Macho yao yanawakilisha ufahamu wao. "ufahamu wa watu waovu utashindwa" au "watu waovu hawataweza kufahamu"
# tumaini lao la pekee litakuwa pumzi yao ya mwisho ya uhai.
Jina dhahania "tumaini" chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "tumaini" pumzi ya mwisho ya uhai inawakilisha kufa. " "Tumaini lao pekee litakuwa pumzi yao ya mwisho" au " watatumaini kufa tu"