# macho ya watu waovu yatashindwa; Macho yao yanawakilisha ufahamu wao. "ufahamu wa watu waovu utashindwa" au "watu waovu hawataweza kufahamu" # tumaini lao la pekee litakuwa pumzi yao ya mwisho ya uhai. Jina dhahania "tumaini" chaweza kuelezwa pamoja na kitenzi "tumaini" pumzi ya mwisho ya uhai inawakilisha kufa. " "Tumaini lao pekee litakuwa pumzi yao ya mwisho" au " watatumaini kufa tu"